Taarifa kutoka Dawasa kuhusu kukosekana kwa Maji Septemba 23, maeneo yatakayoathirika yatajwa

 


Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imetoa taarifa ya kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji, Ruvu chini ljumaa September 23,2022, kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 usiku ili kuruhusu matengenezo ya Bomba Kuu maeneo ya Mlalakuwa na Mwenge.


Maeneo yatakayoathirika ni pamoja na Bagamoyo, Zinga, Kerege, Mapinga, Mabwepande, Bunju, Tegeta,Mbweni, Boko, Salasala, Goba, Mivumoni, Kawe, Lugalo, Makongo, Chuo Kikuu, Mwenge, Kijitonyama, Mikocheni, Msasani, Oysterbay, Masaaki, Mwananyamala, Kinondoni, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Magomeni, Kigogo, Chang’ombe, Keko, Kurasini, Kigamboni, Airport, Kiwalani, Buguruni, Kigamboni, Vingunguti, Ilala na Katikati ya Mji.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA



 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad