Msemaji wa Simba Ahmed Ally Afunguka Mchezaji Anayempenda na Kumchukia Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka kwa afisa habari na msemaji wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia kipindi cha Leo Tena ya clouds fM' amMetaja mchezaji raia wa Uganda Khalid Aucho kama mchezaji anae mpenda na kumvutia uwanjani huku pia akimtamja Fiston Mayele kama mchezaji asie mvutia kutokana na kuwaadhibu katika baadhi ya michezo yao.

Ahmed amefunguka hayo akijibu moja kati ya maswali kutoka kwa watangazaji wa kipindi hicho leo hii , waliotaka kujua ni Mchezaji gani kutoka Yanga sc anayemkubali na yupi pia asiye Mkubali.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad