AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kutoka kwenye Ukurasa wa Instagram wa Muigizaji wa Filamu Nchini @shamsaford Ameweka Wazi kuwa kwa Sasa yupo Tayari kuingia kwenye Maisha ya Ndoa na Kusema kuwa kwa Sasa akili yake imetulia na Ameshapata elimu ya kutosha toka Atoke kwenye Ndoa yake Miaka 3 iliyopita Ambapo alifunga ndoa na Mfanyabiashara @chiddimapenzi
Kupitia ukurasa wa Instagram Ameandika...
"Tangu nimetoka kwenye ndoa ni miaka 3 sasa.Nimejipa muda wa kutosha na kupata elimu kubwa juu ya mahusiano.Sasa Hivi akili yangu imetulia nipo teyali kuolewa tena inshaaallah .Sitaki kuendelea kufanya zinaa mm ni binadamu sijui mwisho wangu ni upi
nshaaallah Mwenyezi Mungu unipe mume mwenye kheri na mm atayenipenda ,kunithamini na kunitunza..Mume atayempenda mwanangu na atayesimama kuwa baba bora kwa mwanangu Maana kila napokwenda nipo naye😭🙏"
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK