What's app Yakata Mawasiliano Kwa Muda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dar es Salaam. Watumiaji wa huduma mtandao wa kijamii wa WhatsApp wametumia njia mbadala ya kuwasiliana baada ya mtandao huo kuonekana kuwa na shida.

Mtandao huo umekatika mawasiliano leo Jumanne Oktoba 25, 2022 ambapo watumiaji hawawezi kutuma au kupokea ujumbe au kupigiana simu kupitia mtandao huo.

Hali hiyo imeibua mijadala katika mitandao mingine ya kijamii ikiwamo Twitter huku baadhi ya watumiaji wakilalamika kukosa mawasiliano.

Baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti mtandao huo haufanyi kazi katika nchi mbalimbali ingawa havijataja sababu za mtandao huo kutokufanya kazi.

Endelea kufuatilia Mwananchi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad