50 Cent Hapoi..Atangaza Kufanya Filamu Kuhusu Maisha ya Mwizi Maarufu Mtandaoni Kutoka Afrika Hushpuppy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapa, muigizaji na muandaaji wa show za Tv na filamu kutoka Marekani, Curtis James Jackson III maarufu kama 50 Cent, ametangaza mpango wake kwa mashabiki kwamba anaandaa series itakayohusu maisha ya Ramon Abbas maarufu Hushpuppi ambaye ni raia wa Nigeria aliyejipatia umaarufu mkubwa duniani kwa utapeli mitandaoni.


50 Cent ambaye ameshatayarisha series kama Power, Power Book II, Power Book III: Raising Kanan n.k ameeleza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu ujio wa series ya Hushpuppi na kusema ni hivi karibuni.


"Kwa walaghai wangu nilipaswa kufanya hivi, tamthilia kumuhusu Hushpuppy inakuja hivi karibuni" - Unasomeka ujumbe wa 50 Cent kupitia ukurasa wake wa Instagram.


Hushpuppi ambaye wiki iliyopita alihukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani, hata hivyo kulingana na tayari alishakaa jela Marekani kwa takribani miaka 2 tangu mwezi Juni mwaka 2020 baada ya kukamatwa huko Dubai na kisha kuhamishiwa Marekani, hivyo kwasasa ameanza kukitumikia kifungo chake cha miaka 9 tu gerezani.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad