ASLAY "Sasa ni Wakati Wangu wa Kuzungumza"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni ukweli usiopingika kwamba Bongofleva imem-miss sana Mtoto wa Isihaka @aslayisihaka na kwa miaka yote mitatu ya ukimya wake Watu walijawa na maswali mengi bila kupata majibu kutoka kwake lakini sasa umefika muda wa kujibiwa.


Staa huyu mwenye heshima yake kwenye Bongofleva ametangaza rasmi kutoa majibu ya maswali yote na yote yaliyozungumzwa kuhusu yeye hivi karibuni ambapo ameandika yafuatayo “Ni muda mrefu umepita, mengi yalizungumzwa lakini sasa ni wakati sahihi wa mimi kuzungumza”


“Subscribe kwenye Youtube channel yangu youtube.com/aslay na facebook yangu facebook.com/aslayofficial, nimekuandalia majibu ya maswali yote uliyokuwa ukitaka kufahamu kutoka kwangu” ——— ASLAY

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad