Chidi Benzi " Sina Genge la Wahuni na Sina Haja Nalo, Ukiniletea Miyeyusho Nakutafuta Mwenyewe"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya profucer #mrttouch kudai anatishiwa usalama wake na Rapa Chidi Benz pamoja na genge lake, Rapa huyo amekanusha taarifa za Mr T Touch, kupitia East Afrika Radio, King kong amedai


“Mtu kachanganya hakuna kitu chochote mimi na yeye, Kama ni kuomba pesa na akakataa nikaanza kumfuatilia nyuma basi ni kwa wasanii wote, Yeye kachanganya tu, tofauti kabisa mimi sikua Sinza na kuhusu Genge, mimi sina mtu, natembea peke yangu na ninakaa peke yangu, na kuhusu makazi, mimi sikai Sinza nakaa Ilala.


Sina Genge la kihuni, mimi kama nataka kumfanyia mtu miyayusho ambaye kaniletea miyayusho, namfuata mimi Mwenyewe, sina hata haja ya genge na siwezi Kumtafutia mtu matatizo, Kwahiyo inawezekana kazingua au kafananisha” Benzino.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad