Nay wa Mitego Amtaka Chid Benz Kutafuta Kazi ya Kufanya, Ugomvi ni Vitu vya Kizamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa kitaa Nay wa Mitego ameweka maneno juu ya taarifa zinazo endelea kuhusiana na ugomvi kati ya producer Mr T Touch na Rapa Chid Benz ambapo hadi sasa Mr. T Touchez tayari amechukua RB akimsaka Chidi Benz. Nay amedai sakata la Touch na Chidi Benz halijaanza leo wala jana na hii itakuwa ni mara ya tatu au nne wawili hao wanavutana, miaka michache nyuma Chidi alimfanyia vurugu Touch na hajui waliishia wapi lakini hali hiyo ikarudi tena kabla ya sasa.


Nay amedai anataka amuhakikishie Mr. T Touch kuwa awe na amani kwani hakuna litakalo mpata na amemtaka Chidi Benz kutafuta kazi nyingine za kufanya, ugomvi ni vitu vya kizamani sana, kama anataka kupigana, watu wakiamua kupigana naye pia atajuta.


Nay amefunguka hayo kwenye U-HEARD na Soudy Brown, Nov 25.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad