Chriss Brown Azidi Kuwapasua AMAs Awards, Baada ya Figisu za Kufuta Show Yake siku ya TUZO


Mwanamuziki nguli tokea nchini Marekani @chrisbrownofficial ameendelea kuiweka kikaangoni Kamati ya maandalizi ya tuzo za America Music Awards baada ya kufuta show ya msanii huyo iliyotakiwa kufanyika kwenye kilele cha tuzo hizo, Jumapili ya Nov 20.


BET NA MERIDIANBET WANA TOA HELA BALAA , JISAJILI HAPA


Show ya Breezy ilikuwa ni mahususi kwaajili ya Legacy ya Michael Jackosn kupitia wimbo wake wa Thriller uliokuwa ukitimiza miaka 40 tangu utoke, bahati mbaya na kitendo ambacho kiliendelea kukoleza wino kwenye uvumi kuwa Breezy anabaniwa kwenye majukwaa ya tuzo na lengo ni kuona anapotea kabisa, ni baada ya Kamati ya Tuzo hiyo kuifuta show ya Chris siku moja kabla, huku msanii huyo akiwa amefanya maandalizi yote.


KOMBE LA DUNIA WATU WANABET NA KULA MPUNGA NA MERIDIAN BET JISAJILI HAPA


Inadaiwa Hafla ya Tuzo ilitazamwa na zaidi ya watu milioni 3 duniani kote, ili kuonyesja ukubwa wake, kupitia ukurasa wake wa Instagram Chris Brow ameamua kupakia video nzima ya maandalizi ya show yake kwenye tuzo hizo ambayo imefikisha zaidi ya watazamaji milioni 12, mara 4 ya watazamaji wa AMAs.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad