Diamond Platnumz Hakukosea Kabisa Kumshika Mkono Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Mpaka sasa 'My Way' ya Harmonize nimeisikiliza zaidi ya Mara 1000, aisee ni ngoma kali sana, ingawa kuna Mistari ya Majungu lakini hii ngoma Ni kali sana.


Jamaa ni mwandishi mzuri sana, Kweli Diamond hakukosea kabisa Kumsaidia huyu Jamaa, asingemsaidia huenda hichi kipaji kisingesikika popote Pale, Big Shoutouts kwa Diamond Platnumz kwani aliamini kabisa kwamba kwa nguvu yake Harmonize anaweza fika Sehemu fulani, hatimae Imani ya Diamond imekamilika na leo hii Harmonize akitulia anatoa ngoma kali.


Kinachomkwamisha Harmonize kwa sasa ni masuala ya Management, Kuchanganya mapenzi na Kazi ila kipaji kipo"


Unakubaliana na kauli ya @nadiagulamhussen kwa asilimia ngapi? Kapatia au kazingua?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad