Kelly Rowland "Chris Brown Anahitaji Msamaha, ni Muhimu Kuwa na Utu"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 


Usiku wa November 20, Msanii #chrisbrown aliibuka mshindi wa tuzo za AMAs, kipengele cha msanii bora wa R&B 2022, tuzo ambayo ilipokelewa na Mwanamuziki #kellyrowland lakini jambo ambalo lilikera wengi hasa mashabiki wa Breezy ni suala la wahudhuriaji wa tuzo hizo kuzomea pale tu jina la Chris Brown Lilipotajwa na Kelly Rowland kwenda kuchukua tuzo kwa niaba.


Kupitia TMZ, Kelly Rowland amedai “naamini neema za Mwenyezi Mungu ni za kweli, na wote tunahitaji dozi ya hilo. Kabla hatujanyoosha vidole kwa yeyote yule, tunapaswa kutambua ni kwa namna gani ni wenye bahati kwa kila wasaa tunao upata, Hata kwa vitu vyetu binafsi tulivyo navyo, nacho fikiri zaidi ni muhimu kuwa binadamu, sisi ni binadamu. Wote tunahitaji kusamehewa kwa lolote ambalo tunaweza tukawa tunalifanya, sote tunapungukiwa kwa namna flani ila neema ni ya kweli, sisi ni binadamu na kila mmoja anastahili Neema” Kelly Rowland


Tangu mwaka 2009, Chris Brown ampige #Rihanna hadharani imekuwa ni mzimu unao mwandama, inakumbukwa makampuni kibao yaliyokuwa yakifanya kazi na breezy yalijitoa hadi radio stations mbalimbali nchini Marekani ziliacha kucheza nyimbo za Breezy, na hata baadhi ya Festival zilimtema, ukawa ndio mwanzo wa kutemwa kwenye performance nyingi za tuzo nchini humo.


KOMBE LA DUNIA WATU WANABET NA KULA MPUNGA NA MERIDIAN BET JISAJILI HAPA


Lakini watu wengi wanajiuliza kama Mtendwa ambaye ni Rihanna, alimsamehe Ex wake, hawa wengine wanateseka na nini hasa ikiwa ni tukio la zaidi ya miaka 10 iliyopita.Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad