Kijana Aliyesaidia Kuokoa Watu 24 Ajali ya Ndege Apewa Milioni Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila amempa kijana Majaliwa Shilingi milioni 1 kama Pongezi kwa kushiriki kwa kiasi kikubwa katika Zoezi la Kuokoa watu Waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyoanguka Ziwa Victoria wakati ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba jana Asubuhi

Katika ndege hiyo kulikuwa na watu 43 ambapo kati yao waliookolewa wakiwa hai ni watu 24 na Watu 19 walifariki Dunia

Miili ya Watu 19 waliofariki kutokana na ajali hiyo Inaagwa leo Katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad