Rais Samia Aagiza Kijana Aliyeokoa Watu Ajali ya Ndege Apewe Kazi Jeshi la Uokozi.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza kijana aliyesaidia kufungua mlango wa ndege ya Precision Air iliyozama ziwa Victoria kwaajili ya kuokoa abiria waliokuwa ndani yake akabidhiwe kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ili atafutiwe nafasi kwenye Jeshi la Uokozi.

Waziri Majaliwa ameyasema hayo leo, Novemba 07, 2022 kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba, Mkoani Kagera wakati akiongoza Ibada ya kuaga miili ya watu 19, waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya Precision Air iliyoanguka ziwa Victoria jana Novemba 06, 2022.

“Rais ameagizia kijana huyu akabidhiwe kwa waziri wa mambo ya ndani ili apate mafunzo zaidi ya ujasiri wake huo aingie kwenye Jeshi hilo hilo ambalo linahitaji ujasiri aliouonyesha,” Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad