Maskini Show ya ZUCHU Marekani Yaenda Mrama... "Kilichotokea Kimenipa Hasira"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii Wa Bongo Fleva Nchini 🇹🇿 @officialzuchu Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram (Insta-Story) Amewashukuru Mashabiki Zake Wote Waliojitokeza Kwenye show Yake Huko Houston, TEXAS (Marekani) Licha Ya Show Hiyo Kutokwenda Kama Alivyopanga

#Zuchu Amesema Kwamba Kilichotokea Kimempa Hasira Ya Kufanya Zaidi Na Anakubali Kushindwa Ikiwa Kama Sehemu Ya Mafanikio Yake


"Nimejiuliza Sana Kwanini Nilichagua Kazi Hii Ya Muziki Lakini Kwa Matukio Kama Haya Yananipa Majibu Kwamba Wachache Hutolewa Kama Mfano Ili Ije Kuwa Rahisi Kwa Wengine" - Zuchu


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad