AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Still shaken lakini Mungu ni Mwema. Nimepanda ndege asubuhi ya leo kwenda Bukoba. Safari ilikuwa na changamoto, tumefika lakini ndege ikashindwa kutua. Nampongeza Rubani kwa uamuzi sahihi wa kurudi Mwanza na sasa narudi Dar. Serikali ibebe kwa uzito suala la airport mpya Bukoba.
Abiria wengine wamebaki Mwanza, wengine tumerudi Dar salama. Airport ya Bukoba inajulikana kama airport yenye changamoto kijiographia na hali ya hewa ikiwa mbaya changamoto ya kutua inazidi. Nawapongeza Captain Emmanuel Msangi na 1st Officer Mhayyar Alnabhany kwa maamuzi sahihi.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK