Mke wa MTU Afumwa Kitandani na Mumewe Akibanjuka na Mchungaji wa Kanisa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mke wa mtu kwa jina la Martha ambaye ni mjamzito amefumaniwa kitandani yeye na anayedaiwa kuwa mchungaji wake wa kanisa wakiwa watupu kuvunja amri ya sita

Aliyewafumania ni mume wa mke huyo na amewafumania kitandani anapolala na mke wake huyo huku dhana za mapenzi zikionekana chumbani humo

Haijajulikana mara moja wanatokea nchi gani lakini katika clip husika mume wa mwanaamama mimba inayoonekana wazi baada ya kuwafumania anasikika akiwaambia hakuna kusogea watulie hapo hapo

Wote wawili wameonekana kupatwa na muhaho mke huyo akijaribu kumuomba msamaha mume wake huku akiwa hajui afanye nini, ila mfumaniwaji huyo aliyetajwa kuwa mchungaji wa kanisa yeye walipobambwa wakiwa watupu akakimbilia boxer yake iliyokuwa chini sakafuni akaivaa haraka na kusimama wima kwa hofu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad