Msanii Rosa Ree Aachia Track List ya Nyimbo Zilizoko Kwenye Album yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Album ya Rosa Ree inatoka mwezi huu Tarehe 26, Leo Ameachia Ngoma zilizoko katika Album hiyo

Collabo za Kenya na Uganda zahusika

Ameandika haya

"Album ya #GODDESS inaenda kubadilisha maana ya MWANAMKE! Mara nyingi MWANAMKE ametumika kwa njia ya kuashiria “UDHAIFU” na hii ni fikra potofu iliyokuwepo kwenye jamii ambayo naenda kuibadilisha! WOMAN IS POWER‼️WOMAN IS LIFE‼️WOMAN IS KING‼️
Special thanks to everyone who made this happen, my team, producers, all featured artists, and most importantly GOD! #GODDESS The Album Premiers 26th November…… BE READY!
Katika hii list ngoma gani unaisubiri kwa hamu?
.
Cc: @jkiandika @gynaroberts @rehemaroberts @therealfidq @bellachristian1 @iamapass @spice_diana @iamfikfameica @nadia_mukami @sylvia_saru @cherish_anny @ibrah_jacko @appy_tz
#PanchoLatino @paulmakertz @breezy_beats @internationalbeatz_ @jogabeat @six_rango @herygx"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad