Qatar Wametisha Sana Kumleta Gwiji Morgan Freeman Kwenye Uzinduzi Kombe la Dunia

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAWalichofaulu Qatar moja wapo ni kumtumia Gwiji Morgan Freeman kwenye sherehe za ufunguzi, ambapo wengi hawakutarajia na alikuja kufanya makubwa sana huku akionesha ukongwe wake akiwa amemeza script nzima kichwani mwake.

Ukijumlisha na sound system kali pamoja na flow yake nzima ndicho kilichovutia watu wengi zaidi, kwasasa tunasubiri reaction ya Wamarekani na Magharibi ambao wengi wamekuwa wakichukizwa na watu maarufu wanaoungana na Qatar kwenye sherehe hizo.

Mfano England wengi wamechukizwa na uhusika wa David Beckham kama moja ya sura za kombe hilo la dunia.

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad