Ticker

6/recent/ticker-posts

Saraphina "Sijawahi Kusainiwa na Harmonize Konde Gand"

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Msanii @phina__tz Ametolea Ufafanuzi Zile Story Za Kuhusishwa Na Kusainiwa Katika Label Ya #KondeGang Ya Msanii @harmonize_tz Ambapo Ameeleza Kuwa Hakuna Ukweli Wowote Kuhusiana Na Hilo Na Kuongeza Kuwa Yeye Yupo Sawa Bila Kuwa Chini Ya Label Yoyote

Kupitia Wasafi Fm #PHINA Amesema..........''Kuhusu Kusainiwa #KondeGang Sio Kweli Sijawahi Kusainiwa Wala Kutaka Kusainiwa Na #KondeGang Hajiwahi Kutokea Kabisa, #HARMONIZE Tumewahi Kuwasiliana Yes Kwasababu Kipindi Imetoka #UpoNyonyo Yeye Na #KAJALA Walikuwa Wananisapoti Sana Muziki Wangu So Tukawa Na Project Tunafanyia Kazi''

"So Nafkiri Labda Uo Ukaribu Wakati Nina Project Na #HARMONIZE Nafkiri Watu Wengi Wametafsiri Tofauti, Ujue Watu Wana Matamanio Yao Huku Nje Wanatamani Kwasababu #PHINA Ni Msanii Ambaye Hayupo Kwenye Label Yoyote Si Angeingia Na Yeye Kwenye Label Mambo Yabadilike Kidogo Lakini Mimi Niko Sawa''

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA

Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments