Shaffih Dauda "Yanga Mrudisheni Feisal Salum Nafasi yake Uwanjani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Feisal Salum ana eneo lake ndani ya uwanja ambalo analimudu vyema, anafunga sana akitumika kama 10, ni bora sana akicheza nyuma ya Mshambuliaji lakini bahati mbaya sana hapewi sana nafasi ya kucheza eneo lile na anaeyepewa ana mabao mawilk tu kwenye ligi na moja ni la set piece.

Mpeni Feisal eneo lake, atawasaidia sana na ndie mwenye mabao mengi zaidi kikosini kwenye ligi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad