Pata Utamu wa Carabao CUP Ukiwa na Odds Bomba Kutoka Meridianbet

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Hadithi nzuri na za kusisimua kuhusu Kombe la dunia zimefungwa rasmi, na sasa burudani iko pale pale hakuna kulala, tunahamia kwenye michuano ya Carabao CUP ambayo inaanza kutimua vumbi wiki hii, Manchester United, Manchester City, Liverpool na Newcastle United Mzuka ni mkubwa unaambiwa. Weka ubashiri wako popote muda wowote ODDS ni bomba Zaidi. 


Mchanganuo wa ODDS Bomba Meridianbet!! Uko hivi..


Mechi za Disemba 20/2022


Baada ya michezo ya ligi mbalimbali kusimama sasa Mziki wa Carabao CUP utachezwa usiku wa leo, wakati ambao Leicester City watakapokuwa ugenini kukipiga na Milton Dons, Mwagilia moyo na Odds bomba za mechi hii ambapo Milton amaepewa ODDS ya 8.62 huku Leicester wakiwa na 1.29 na sare ina 5.09.


Mbungi litapigwa sana kwenye mechi kati ya Newcastle United vs AFC Bournemouth na kunogesha mchezo meridianbet wameongeza ODDS zao kwenye mechi ya leo Bournemouth ana 6.07 ashinde huku sare 4.21. Bonyeza hapa kuweka ubashiri wako.


Mziki mkubwa utawashwa kwenye uwanja wa Molineux Stadium maeneo ya West Midlands, ambapo Wolves watacheza na Gillingham FC. Na kwenye uwanja wa St Mary’s Park Southampton watakipiga na Lincolin City Odds ni kubwa nabomba kwenye mechi hizi zote.


Mechi za Disemba 21-22/2022


Vijana wa Erik Ten Hag watakuwa kwenye dimba lao wenyewe wanapaita machinjioni pale Old Trafford, mbungi itatimua vumbi zito mithili ya kimbunga cha moto United vs Burnley ushindi kwa Burnley una odds kubwa ya 6.07 Man utd ana 1.39 sare ina 4.50. Bonyeza hapa kutabiri matokeo ya mechi hii.


Hii sasa n funga mwaka, unaambiwa yule adui wa magolikipa au ukimpenda muite mchana nyavu mt una nusu Erling Haaland atakutana na kipa bora mwenye rekodi zake za kutisha Álisson Ramsés Becker mzaliwa wa Brazil, ni vita isiyotumia silaha, Manchester City vs Liverpool, Liver ana 3.82 ashinde na Man City ana 1.91 ashinde na sare ina 3.62 unaanzaje kuzikosa Odds kubwa na bomba kama hizi. Piga *149*10# kubeti na kitochi, kubeti bila bando.


NB: Hauna bando? Usiwaze unaweza kubeti na kitochi bila bando kwa kupiga *149*10# kisha unaweka ubashiri wako. Mbali na ushindi wa kawaida, unaweza kujishindia pia MBUZI WA KITOWEO cha Sikuu za Krismas na Mwaka mpya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad