Ticker

6/recent/ticker-posts

Mawe Yenye Nguvu za Umeme Yagunduliwa DRC Congo, Yawasha Balbu

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPAVideo zinazosambaa mitandaoni zinaonyesha mawe hayo yakitoa miale ya moto yanapogusana na hata kutumika kuwasha balbu
Gramu moja ya jiwe hilo lenye nguvu za umeme inaaminika kuwasha balbu kwa zaidi ya saa 72
Watafiti wamegundua kuwa mawe hayo yanaweza kuhifadhi nishati, na kuifanya kuwa chanzo cha nguvu za umemeGramu moja ya jiwe hilo lenye chaji ya umeme inaaminika kuwasha balbu kwa zaidi ya saa 72. 

Mawe hayo yanapatikana katika eneo la Katanga nchini Congo na yamefanyiwa utafiti nyingi.

Video zinazosambaa mitandaoni zinaonyesha mawe hayo yakitoa miale ya moto yanapogusana na hata kutumika kuwasha balbu.


Ugunduzi huo umewaacha watafiti kote duniani wakijikuna vichwa wakijaribu kubaini ni vipi mawe hayo yana uwezo wa kutoa umeme.


Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo, gramu moja ya jiwe hilo lenye nguvu za umeme inaaminika kuwasha balbu kwa zaidi ya saa 72, huku kilo moja ya mwamba huo ikidaiwa kuwa na uwezo wa kuwasha nyumba yenye vyumba 2 kwa angalau miezi 2.Watafiti wamegundua kuwa mawe hayo yanaweza kuhifadhi nishati, na kuifanya kuwa chanzo cha nguvu za umeme.

Wanasayansi pia wamegundua kwamba mawe hayo yanaweza kutoa mikondo ya umeme inapofunuliwa na masafa fulani ya sauti.

Ugunduzi huo ni matumaini kwa raia wa Congo kwani unaweza kuleta chanzo kipya cha nishati na kusaidia kupunguza utegemezi wa nchi hiyo kwa nishati ya mafuta.


Japo baadhi ya wanamtandao wanaamini kuwa mawe hayo yanaweza kuwa feki, wengine wanashangzwa na taifa hilo kutokuwa na uwezo wa kutumia rasilimali hizo za ulimwengu kwa faida yake.

IvoDePivo: "Inaonekana bandia. Haijalishi balbu inaweza kushikilia tofauti kama hiyo. Ujanja wa kichawi na swichi iliyosukumwa kwenye mwamba."

Amadu Yahuza: "Afrika imejaliwa kuwa na rasilimali nyingi lakini haijajaliwa jinsi ya kutumia rasilimali hizo."

Laktar MD"DRC lazima iwe Bustani ya Edeni. Hawana nini?"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA

Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments