Utafiti: Kunywa Maji Mengi Kunapunguza Hatari ya Kuugua na Kufa Mapema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Utafiti: Kunywa Maji Mengi Kunapunguza Hatari ya Kuugua na Kufa Mapema

Utafiti wa Maabara ya Tiba ya Kurekebisha Moyo na Mishipa katika Taasisi ya Afya ya Taifa (NIH) ya #Marekani umeonesha Unywaji Maji ya Kutosha unaepusha Magonjwa Sugu na Kuzeeka haraka

Chapisho jipya la #eBioMedicine katika Uchunguzi uliofanywa kwa Watu 11,255 umeonesha kiwango kikubwa cha Chumvi kwenye Damu ya Watu wasiokunywa Maji ya Kutosha husababisha Binadamu kupunguza hadi Miaka 15 ya kuishi

Wataalamu wa #Afya wanashauri Wanawake kunywa Lita 2.7 Maji kila Siku, na Wanaume wanywe Lita 3.7. Pendekezo hili linajumuisha vinywaji vyote na vyakula vyenye Maji mengi ikiwemo Matunda

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad