‘Hausiboi’ aua Mke wa Mwenyekiti wa Mtaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamtafuta Paschale Kagwa, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 22, akidaiwa kufanya mauji ya mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa NHC Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, William Mwampaghale, amesema kijana huyo, ambaye alikuwa msaidizi wa kazi za nyumbani kwa Mwenyekiti wa Mtaa NHC Rwamishenye, David Domick, tangu Novemba, 2022, anatuhumiwa kumuua Khadija Ismail (29) kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani jana Jumatatu Februari 13, 2023.
Hata hivyo Kamanda huyo wa Polisi, amesema hakuna anayejua taarifa za kijana huyo, wala eneo la asili alikotoka na kutoa wito kwa wananchi kuacha kuajiri watu ambao hawana historia nao.
Mkuu wa Wilaya ya Bukob,a Erasto Siima amefika katika familia ya Mwenyekiti huyo wa Mtaa na kuwaomba wananchi kutoa ushirikiano watakapokuwa na taarifa zitakazosaodia kukamatwa mtuhumiwa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad