KLABU ya Yanga Inafikirisha...Yalazimishwa Sare na Real Bamako

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KLABU ya Yanga Inafikirisha...Yalazimishwa Sare na Real Bamako

KLABU ya Yanga imelazimishwa sare ya bao 1-1 na timu ya Real Bamako kwenye hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufanikiwa kuichapa Real Bamako bao 1-0.


Katika mchezo huo, Yanga haikuweza kucheza mpira mzuri kipindi cha kwanza kwani hawakutengeneza nafasi kwenye lango la upinzani mpaka mapumziko ambako timu zilienda zikiwa hazijapata bao.


Kipindi cha pili timu zote ziliingia zikihitaji bao kwani ziliweza kutengeneza nyingi licha ya Yanga kutumia vizuri nafasi moja na kuweza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Fiston Kalala Mayele ambaye alipokea pasi kutoka kwa Aziz Ki.


Real Bamako katika dakika za lala salama waliweza kupata bao la kusawazisha kupitia kona ambayo ilizaa bao.


Yanga Sc sasa itakuwa inashika nafasi ya tatu kwenye kundi lao wakiwa wamecheza mechi tatu na kujikusanyia pointi nne ikiwa anaeongoza Monastir akiwa na pointi saba.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad