Ticker

6/recent/ticker-posts

Rushaynah wa Haji Manara Atia Neno Baada ya Harmonize Kuweka Bango Barabarani Kuwa Yupo Single

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Swala la Harmonize_tz kuweka bango sio inshu, inshu ni ujumbe aliouambatanisha kwenye picha yake katika bango hilo, unaosomeka "Single Again" ambapo mashabiki waachwa na maswali, je ni ujio wa kazi mpya ambapo ametumia njia hiyo kuutangaza ama ana lake lingine boss huyo wa Konde Gang!


Hata hivyo, mrembo Rushaynah_ aliyewahi kuwa mke wa Haji Manara yeye kwa upande wake amehoji kwamba mkali hiyo kufuatia ujumbe wake huo katika bango "Anajiuza..!"


Wawili hao ambao wanatajwa kuwa ni marafiki, kwani Rushaynah alishawahi kuonekana nyumbani kwa Konde, Mbezi Beach.


Je huu ni ujio mpya wa Konde⁉️ Una mtazamo gani 🤔

Post a Comment

0 Comments