Ticker

6/recent/ticker-posts

Shabiki Aliyeokota Pete ya Rayvanny Airudisha

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPANyuma kidogo star wa muziki na C.E.O wa NextLevelMusic @rayvanny alitangaza kupoteza pete yake kwenye show yake ya Mbagala

Leo star huyo ameshare video ya shabiki ambae aliiokota pete hiyo na kuamua kufika ofisini kwake kumrudishia

Umewahi dondosha nini na ukarudishiwa na raia wema?

Post a Comment

0 Comments