Taarifa za Kuokolewa Kwa Mchezaji Atsu Kutoka Kwenye Kifusi Uturuki Zaichanganya Ghana

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Baada ya taarifa za kuwa Christian Atsu ameokolewa kutoka kwenye kifusi, Balozi wa Ghana nchini Uturuki sambamba na Viongozi wa timu yake wamemsaka kila hospital na hakuna iliyompokea wala jina lake halipo kwenye orodha ya manusura.

Taarifa zinadai kuwa Atsu sambamba na Mkurugenzi wake bado wapo chini ya kifusi na harakati za uokoaji unaendelea.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad