Ticker

6/recent/ticker-posts

TETESI: Beki la CHAN laomba kusepa Yanga

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

 
Beki Raia wa Mali Mamadou Doumbia anatajwa kuwa ameomba kuondoka katika klabu ya Yanga baada kuona ameshindwa kupata nafasi katika kikosi hicho kinachonolewa na Mtunisia Nasreddine Nabi.


Kumbe kitendo cha kukalishwa benchi, kinamuuma beki mpya wa Yanga, Mamadou Doumbia na sasa beki huyo inaelezwa amepanga kutuma maombi ya kutaka kuvunjwa mkataba ili aende sehemu ambayo itamfanya acheze kama ilivyokuwa kabla ya kutua Yanga.


Doumbia amejiunga na Yanga akitokea klabu ya Stade Malien ya nchini Mali Januari mwaka huu

Post a Comment

0 Comments