Esma Platnumz Achukizwa na Mke wa Mojay Kuwa Kimbele Front Ugomvi Gigy Money na Mmewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dada wa Staa wa Muziki #DiamondPlatnumz na Mfanyabiashara @_esmaplatnumz Ametia neno kwenye sakata linaloendelea baina ya Familia ya Mtangazaji @moj360 na Mzazi mwenzake Staa wa Muziki @gigy_money_og
.
Kupitia ukurasa wa Instagram #Esma amesema kuwa kwa upande wake kama akiolewa katika Familia yenye Migogoro yeye hawezi kuingilia hata kama Mke mwenzake atakuwa anamtukana vipi na hawezi kumshawishi Mwanaume wake amzalilishe Mwanamke aliezaa nae.
.
Mbali na hivyo ameonesha kushangazwa na yanayoendelea baina ya @gigy_money_og @moj360 kwenye Mitandao ya kijamii.


.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad