Kariakoo Fire Yatembelewa na Meridianbet kwa Uzinduzi wa Duka la Kubetia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kama ilivyo ada Kampuni kubwa kabisa Tanzania ya ubashiri Meridianbet wameendeleza kampeni yao ya kuzindua maduka ya kubetia huku leo hii wakiwafikia wakazi wa Kariakoo Fire ambao nao walikuwa na uhitaji wa duka la kubetia. Duka hilo liwasaidia sana kwani litakuwa limesheni vitu mbalimbali ikiwemo huduma bora, ODDS KUBWA, Michezo ya kasino ya mtandaoni na mengine mengi.

Ukiwa unajiuliza utabeti wapi ukiwa Kariakoo.Basi nikwambie tu sehemu ni moja tu nayo ni Meridianbet pekee na sasa wapo kila sehemu huku maduka yao yakionekana kila mtaa na bado maduka yatazidi kujaa kila kukicha. 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
 
 Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za Kubetia
 
Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.
Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.
 
Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad