Kocha Micho wa Uganda ajitetea kipigo cha Taifa Stars “Timu ya Mpito”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda Micho mara baada ya kutua nchini kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Tanzania aongea na Waandishi.

Micho aeleza kuwa amepoteza mchezo wa kwanza nyumbani ndio kutokana na kikosi chake kuwa kina wachezaji wengi wapya na Timu ya mpito.

Tanzania na Uganda wapo Kundi F lenye timu za Algeria anayeongoza kwa point 9, Tanzania anayeshika nafasi ya pili kwa point 4, Niger nafasi ya tatu kwa alama 2 na Uganda nafasi ya mwisho akiwa na alama moja, timu zinazo maliza nafasi mbili za juu zinafuzu AFCON 2023.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad