Ticker

6/recent/ticker-posts

Kocha Nabi Atoa Msimamo Wake Sakata la Mechezaji Fei Toto

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Mechezaji Fei Toto


Baada ya kumkosa Kiungo wake kwa muda sasa, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ametoa neno kwenda kwa kiungo huyo aliekuwa mhimili muhimu ndani ya kikosi cha Yanga.


Akizungumza Nabi juu ya mustakabali wa Fesal Salum ambae amefanya nae kazi kwa misimu zaidi ya miwili nabi amesema


“Feisal Salum ni kama mwanangu, napenda arejee Yanga SC na majukumu yake ya kawaida. Nikipewa nafasi ya kumshauri ningemshauri arudi hapa. Nitampokea kwa mikono miwili. Kama anaona hakuna haja ya kurejea basi namtakia kila la kheri kwenye safari yake”


Feisal anapambana katika mamlaka za soka nchini ili kuvunja Mkataba wake na Klabu ya Yanga.

Post a Comment

0 Comments