Kumekucha...Sarah Kumbwaga Harmonize Mahakamani....Kugawana Mali Walizochuma Wote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Huenda hii isiwe habari njema kwa mashabiki wa Konde Boy! boss huyo wa Konde Gang anaripotiwa kushindwa kwenye kesi ya Madai ya Talaka na aliyekuwa mke wake, Sarah Michelotti ambaye ni raia wa Italia.


Baada ya wawili hao kuachana Desemba mwaka 2020, Sarah alifungua kesi hiyo katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, na jana February 28, Sarah ameshinda kesi hiyo. Baadae kupitia insta story yake aka-share ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa hilo, "Thank's God🙏".


Hivyo, Sarah anatarajiwa kupewa talaka yake na Mahakama hivi karibuni pamoja na kuwepo kwa mgawanyo wa mali walizochuma pamoja kipindi yupo kwenye ndoa yake.


"Ufunguo wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe. Kadri ushindi unavyokuwa mgumu ndivyo furaha inavyokuwa kubwa katika kushinda 😎👸🏻" - Ameandika Sarah kwenye ujumbe wake wa leo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad