Makamu wa Rais Atoa Onyo Ndoa za Jinsia Moja " Hata Wanyama Hawafanyi Hivyo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango Ametoa wito kwa Wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia Maadili ya Kitanzania na kuongeza umakini katika Maadhui wanayoangalia watoto kwenye Televisheni.
.
Akizungumza na Waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya Wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikra Maria #DktMpango Amesema kuwa Maadili ya Kitanzania kwa sasa yameporomoka kwa kiasi kikubwa sana na kushangazwa na vitendo vya Ndoa ya Jinsi Moja .
.
#DktMpina Amesema .... "Ndoa za wanaume wawili,Ndoa za Wanawake wawili mliziona wapi? hata wanyama hawafanyi hivi kwahiyo niwasihi sana mchague watoto/vijana wanaangalia nini kwenye Televisheni vinginevyo tutakuwa na Taifa la Ajabu"
.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad