Ticker

6/recent/ticker-posts

Marley Kaka wa Simba Bob Junior Naye Haonekani

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Siku mbili nyuma kabla ya Bob Junior Kuuwawa Kaka wa Bob Junior ajulikanaye kama Marley/Noel (aliye mbele kulia) nae hakua anaonekana katika Makazi yake waliyokua wakiishi na wakiambatana na Bob Junior ambaye ameuwawa

Mara ya Mwisho walionekama wote wakiwa wanakagua usalama na kuangalia mipaka ya eneo lao ambalo wanamiliki

Ni utaratibu wao wa kawaida kabisa kufanya Doria kwenye mipaka ya himaya yao ili kubaini kama kuna hatari yoyote ama uvamizi wa Simba dume wengine kutaka kuwapindua

Inasemekana siku mbili kabla ya kuuwawa kwa Bob Junior Kaka yake Marley hakua anaonekana na hilo liliwapa nafasi Simba dume wengine kuvamia na kuuangusha utawala wao

Wasafi Media tumepiga kambi Katika hifadhi ya Serengeti kuhakikisha tunakujuza kila litakiwalo kuhusu Bob Junior na hatima ya uzao wake

Post a Comment

0 Comments