Matokeo ya Taifa Stars na Uganda Haya Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" wamechapwa bao 1-0 na Uganda katika mchezo wa Kundi F Kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) jana Usiku Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Bao pekee la The Cranes lililoizamisha Taifa Stars limefungwa na winga wa KCCA ya nyumbani, Kampala, Rogers Mato Kassim dakika ya 90 na ushei akimalizia kazi nzuri ya Farouk Miya wa Rizespor ya Uturuki.


Matokeo hayo yanazidi kuliweka pagumu Kundi F kuelekea mechi mbili za mwisho, kwani sasa ukiondoa Algeria ambayo imekwishafuzu kwa pointi zake 12, Tanzania na Uganda zenye pointi nne kila na Niger yenye pointi mbili moja wapo unaweza kufuzu pia.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad