Rayvanny atangazwa kuwa Balozi wa CRDB Benk, afunguka haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Ni headlines za mkali kutokea Bongo Flevani Rayanny ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kutambulisha rasmi na kampuni ya CRDB kuwa kama Balozi wao rasmi.

Akizungumza na millardayo.com alisema..‘Kwasababvu ni Brand kubwa na nina furaha sana unajua sisi Wasanii unapoona Taasisi kama hii inanitumia kwani ni kitu kikubwa sana”- Rayvanny

“Cha kwanza kabisa watu wanatakiwa kujua CRDB ni Benk inayomjali mteja wake na kazi yangu kubwa ni kuwafikishia habari Wananchi kuhusiana na Benki hii kwani ni nafasi kubwa sana kwangu”- Rayvanny

‘Kazi yangu sitochoka na ninawahidi wateja wa CRDB kila habari ama kile kinachostahili basi lazima nitakuwa nawafikishia na kuwafikia hata mikoani kwahiyo hii fursa kwangu na ilikuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu kuwa siku nije kutangaza ama kufanya kazi na Benki na hatimae leo hii Mungu ametenda’- Rayvanny
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad