Fantana Amjibu Zari "Umeolewa na Mwanafunzi na Tusisahau Kuhusu Video zako Chafu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Mrembo #ZariTheBossLady kumjia juu baba watoto wake @diamondplatnumz kwa kusema kuwa ameongea uongo kwenye Series ya Young,Famous&African kuhusu yeye kumtaka sana kuwa na watoto huku akimuhusisha mrembo @iamfantana ambaye alionekana kuwa ndiye mpenzi mpya wa Diamond na kusema dada huyo amejiongezea muonekano kwa kufanya Surgery aina ya #BBL mara 5,sasa Fantana amemjibu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @iamfantana ameandika kwenye Instastory kuwaa "unaelewa maana ya kuwa milionea? nafikiri siku hizi wanagawa bure hadhi ya umilionea🤣mtu yeyote ampe huyu mwanamke dawa zake 🤣,Surgery mara 5?kiuhalisia ulitengeneza mwili wako mzima ili ufanane na mimi ,ushaona kitovu chako kilipo?😭kufeli kwa kazi?wewe ulifanikisha nini ulipokuwa na miaka 25?ulimiliki IPhone ,kununua Internet na kutengeneza maisha bandia , na tusisahau kuhusu video zako chafu za ngono sababu wewe unajiona ni bora kuliko wengine na sasahivi umeolewa na mtoto wa shule.Naonekana kama mwanamke mwanaume? kiuhalisia unatetemeka kila unaponiona kuwa mkweli.👏
.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad