Madaktari waanza upasuaji miili 109 mfungo wa kifo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi wameanzisha upasuaji ya miili zaidi ya 100 iliyofukuliwa kwenye Shamba la Muhubiri Paul Mackenzie anayedaiwa kuwashawishi wafuasi wake kufunga kula hadi kufa ili wakakutane na Muumba wao. 


Kwa mujibu wa mpasuaji mkuu wa serikali, Johansen Oduor amesema wachunguzi hao pia watachukua sampuli za DNA kusaidia katika utambuzi, ingawa matokeo kamili yanaweza kuchukua miezi kadhaa.


Mfungo wa kifo: Makaburi 12 yagunduliwa, mmoja aokolewa


Polisi wafukua miili ya watatu, mama na watoto wawili

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Kenya Kithure Kindiki akizungumza nje ya chumba cha kuifadhi maiti mjini Malindi, alisema shughuli hiyo inaanza kutekelezwa mara moja na inatarajiwa kuchukuwa muda wa wiki moja. 


Paul Mackenzie Nthenge, dereva wa zamani wa teksi ambaye alianzisha dhehebu la Kikristo la Good News International Church, anashutumiwa kuwa aliwaambia wafuasi wake kwamba njaa ni kibali cha kwenda kwa Mungu.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad