AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe na kusema kwa zaidi ya miaka 40, Membe alikuwa Mtumishi mahiri wa umma, Mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia Nchi ya Tanzania kwa weledi.
Rais Samia amesema “Natoa Pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki, Mungu amweke mahali pema, Amina”
Membe amefariki dunia leo asubuhi Katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni Jijini Dar es salaam.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK