Yanga Yarejea Dar Baada ya Ndege Kushindwa Kutua Uwanja wa Dodoma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uongozi wa Klabu ya Yanga unautaarifu umma kuwa msafara wa kikosi cha klabu hiyo uliokuwa umesafiri mchana wa leo kuelekea Singida kwa kupitia Dodoma, umerejea jijini Dar es Salaam baada ya Ndege waliyokuwa wakisafiria kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma.

Uongozi wa Yanga unapenda kuwatoa wasiwasi wanachama na mashabiki kuwa wachezaji wote na benchi la ufundi wako salama na hakuna tatizo lolote lililowakuta kutokana na changamoto hiyo.

Aidha uongozi unaendelea na mipango ya haraka ya kuhakikisha timu inasafiri kuelekea mkoani Singida kwa ajili ya kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars, uliopangwa kuchezwa Mei 4, 2023 kwenye uwanja wa Liti

#KitengeSports
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad