Zari Hassan "Nimebarikiwa kila kitu, mahari yangu Quran tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Zari Hassan "Nimebarikiwa kila kitu, mahari yangu Quran tu"

Mfanyabiashara Zari Hassan amesema kwamba mumewe alimpa tu Quran kama Mahari ya Bibi harusi wakati wa harusi yao.

Zari alisema kuwa amekuwa na kila kitu alichokuwa anakitaka maishani, ndiyo maana alimuomba mume wake ampe Quran tu akuhitaji kingine.

Na kuongeza kuwa anajaribu kujenga Imani yake kama Muislamu na ndiyo maana aliomba tu kitabu kitakatifu

“Nimepata kila kitu ambacho nimewahi kutaka katika dunia hii Mungu amenibariki nina maisha mazuri, watoto wangu wapo sawa na biashara yangu inaimarika na ninapata tafrija za hapa na pale.

"Nimebarikiwa vya kutosha, kwa hivyo ndiomana nilimuomba mume wangu Quaran tu kwa sababu ninajaribu kuendeleza imani, mimi ni Mwislamu wakati mwingine, mumewangu alishangaa nilipomwambia hivyo. "Kwa hivyo alininunulia moja, ili iwe Quran tu," Zari Hassan alisema.

Zari na mume wake Shakib walifunga ndoa hivi karibuni ilikuwa harusi ya faragha ya Kiislamu iliyohudhuriwa na watu wao wa karibu tu. Katika imani ya Kiislamu mahari ni zawadi, au ahadi ya zawadi, kwa mke na mume.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad