Harmonize amemsusa Ibraah Konde Gang?? Ibraah yupo kimya sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo ameenda na msanii kutoka @kondegang @ibraah_tz

@el_mando_tz ameeleza namna takwimu za @ibraah_tz zinavyoshuka kutokana na kukaa kimya kwa muda mrefu.

Anaeleza kuwa @ibraah_tz hajafikia level za kukaa kimya miezi zaidi ya mitatu mpaka minne maana bado anahitaji kujitengeneza.

Ukiangalia alivyoanza @ibraah_tz akina @marioo_tz @realjaymelody walikuwa chini yake.

Lakini kwa sasa wamempita @ibraah_tz mbali sanaa na yote ni kwa sababu yupo kimya.

@el_mando_tz anaongeza kuwa kuna namna uongozi wa @kondegang chini ya @harmonize_tz unatakiwa kufanya ili kumrudisha @ibraah_tz kwenye ubora wake.

Hayo ni maoni ya @el_mando_tz vipi maoni yako?? Unakubaliana na @el_mando_tz au hukubaliani naye??

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad