Zuchu hakamatiki, awafunika Tiwa Savage na Yemi Alade

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Zuchu vs Tiwa Savage

Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Takwimu za @officialzuchu ambapo kwa sasa anashika nafasi ya 3 kwa wasanii wa kike Afrika wenye wafuasi (Subscriber) kwenye mtandao wa YouTube.

Ikumbukwr kuwa @officialzuchu amefungua akaunti yake ya YouTube na kuanza kupost January 29 mwaka 2019.

Amewapita wakongwe kama @tiwasavage na @yemialade ambao wapo kwenye muziki kwa muda sasa.

@tiwasavage amefungua akaunti ya YouTube mnamo September 8 mwaka 2016 huku @yemialade akifungua November 15 mwaka 2012.

Unaweza kuona ukuaji wa @officialzuchu unavyokuwa mkubwa na wa haraka.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad