Mwanamke Mwingine Kutoka Ufaransa Aibuka na Kudai Ana Mimba ya Davido

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati Sakata La #Anita Na #Davido Likiendelea, Mwanamke Mwingine Kutoka Nchini Ufaransa Aitwaye @ivannabayy Na Yeye Ameibuka Akidai Kuwa Amepatiwa Ujauzito Na @davido

#Ivanna amesambaza video yake akipima ujauzito kuthibitisha kuwa amepachikwa ujauzito na mwimbaji huyo Kutoka Nigeria.

Ukiachilia Mbali Hilo, Pia @ivannabayy ametaka kujua wapo wangapi kwa Davido ili waweze kuona uwezekano wa kuanzisha timu ya mpira kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wazazi wenza ambao wameendelea kujitokeza.





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad