Billnass Afunguka 'Sijaacha Hip Hop ila Mziki wa Amapiano Umeniteka'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Billnass Afunguka 'Sijaacha Hip Hop ila Mziki wa Amapiano Umeniteka'

 Billnass Afunguka 'Sijaacha Hip Hop ila Mziki wa Amapiano Umeniteka'

Wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa 'Maokoto' wa msanii Billnass, ameeleza kuwa hajaacha muziki wa hip-hop kuna mambo mengi mapya yanakuja amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea wimbo mwingine mpya.


Hata hivyo, msanii huyo wakati akijibu waandishi wa habari juu ya kauli ya msanii kutoka Kenya Khaligraph, akadai kuwa ni kweli kwa sasa wameamia katika amapiano kwani hata ‘maokoto’ ni Amapiano, kwa hiyo kwa sasa atauzungimzia muziki wa amapiano kwanza.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad