Kauli ya Kocha wa Yanga Kuelekea Mechi ya Kesho Jumamosi CAF CHAMPIONS league

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kauli ya Kocha wa Yanga Kuelekea Mechi ya Kesho Jumamosi CAF CHAMPIONS league

 Kauli ya Kocha wa Yanga Kuelekea Mechi ya Kesho Jumamosi CAF CHAMPIONS league

 Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya awali dhidi ya Asas Fc

Kesho Jumamosi August 26, Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex katika mchezo ambao Wananchi wanahitaji angalau sare Ili kutinga raundi ya kwanza

Gamondi amesema anafahamu mchezo huo utakuwa tofauti na mchezo wa kwanza lakini wamejipanga kuhakikisha wanashinda na kusonga mbele

"Tuko tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Asas Fc. Tunafahamu utakuwa mchezo tofauti, wapinzani wetu watajaribu kutushambulia"

"Tutaingia kwenye mchezo huu pasipo kufikiria matokeo ya mchezo wa kwanza, tutahitaji kufunga mabao ili tusonge mbele," alisema Gamond

Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Ushindi au matokeo yoyote ya sare yataihakikishia Yanga kusonga mbele raundi ya kwanza

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad