"Kajala ni Mwanamke wa Kuwekwa Ndani na Kupewa Hela" - Gidi Msanii wa Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Kajala ni Mwanamke wa Kuwekwa Ndani na Kupewa Hela" - Gidi Msanii wa Kenya


  "Kajala ni Mwanamke wa Kuwekwa Ndani na Kupewa Hela" - Gidi Msanii wa Kenya

mwanamuziki kutoka Kenya Gidi Kocha ameeleza hisia za moyoni mwake kuwa anampenda muigizaji maarufu Tanzania Kajala Frida Masanja huku akidai uzuri wake sio wa level ya kuwa na wanaume wa wa kitanzania


Mwanamuziki bjyo amedai kuwa anachukizwa na bifu na maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu mrembo huyo na ex wake, kutokana na hayo amedai kuwa inaonesha Kajala anapitia changamoto kwenye mahusiano yake anasema


"Ujue Kajala ni mwanamke mzuri sana, hapa Kenya anapendwa sana, nadhani ingefaa apate mwanaume kutoka Kenya sisi huku tuna pesa nyingi na hatuoni ubaya kuhudumia wake zetu. Huyu mwanamke mimi nampenda sana hata kabla sijawa maarufu nilikuwa nafuatilia movies zake, huyu ni wakuweka ndani ya nyumba,"

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad