Wakazi "Diamond Usipotoshe Watu Kwa Kupindisha Ukweli na Kuongea Unafiki"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz vs Wakazi

Rapa wakazi ameandika Waraka mrefu katika mitandao yake ya Kijamii akimchana msanii wa Muziki Diamond Platnumz: 

"Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana tamaa baada ya wewe mwenyewe kusanda huko “international”… kabla ulikuwa kimya kama sio perpetrator mwenyewe.

Muziki wa Tanzania haujaanza kufanya vizuri sasa hivi, infact sasa hivi ndio unafanya vibaya zaidi historically, maana wewe ndio Number 1 artist, lakini hata kujaza watu elfu 6 ughaibuni kimbembe, Waafrika wanaweka Historia duniani wewe umerudi kupambana na Ally Kiba.

Mimi binafsi nilikuwa nakukubali kwa nidhamu yako ya kazi (work ethics) na uthubutu, ila sasa umekuwa miyeyusho. Tunaelewa na kuheshimu kwamba umekuwa mfanyabiashara… maybe ndio imekuathiri upande wa muziki na huo ushindani usio na tija ambao huko duniani hamuwezi upeleka umepelekea kutaka kutia huruma.

Ngoja nimalizane na maswala ya Chama (ACT Wazalendo) na pia ku post kazi za Wasanii ambao wanafanya Sanaa kwa Level ya juu kwanza, alafu nitarudi kudadavua nachomaanisha kwa kutumia hiyo clip yako and beyond " Wakazi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad